Vifaranga na Mayai ya Kwale (Quails) yanauzwa

Vifaranga na Mayai ya Kwale (Quails) yanauzwa

jmoss

Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
7
Reaction score
1
Cougar Farm Product Ltd inawatangazia bidhaa zifuatazo zinapatikana:-
1. Mayai ya Kwale kwa tray - ni Tshs 25,000.00
2. Vifaranga vya kwale (Vya wiki mbili) - 5000 @ kila 1
3. Kwale wakubwa (Wanaotaga) - Tshs 30,000.00 @ kila 1
Tunapatikana Makongo Juu kwa namba za simu zifuatazo : 0715 750 504, 0754 750 504, 0754 370 807, 0712 788 627 na 0717 283 166


Quail Eggs2.jpg Quail Eggs 3.jpg

Quail Eggs.jpg

KARIBUNI SANA
​
 
Mayai ya kwale yana matumizi gani? Maana nnavyojua ni madogo sana na bei uliyoweka hapa ni kwabwa sana

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mayai ya kwale yanatumika kama dawa au tiba kwa ajili ya kuongeza kinga za mwili (CD4).. Kiukweli ni madogo lakini nutrients zilizomo ndani yake ni mara tano zaidi ya yai la kuku wa kawaida wa mayai... Sifa za msingi za mayai ya kwale ni kama zifuatazo:-
1. Yanakiwango cha juu cha virutubisho kuliko mayai ya kawaida (Vitamin, Minerals and Proteins)
2. Yanaongeza kinga za mwili
3. Yanasaidia mwili kupunguza sumu mwilini n.k

Kama unahitaji maelezo zaidi piga kwa hizo namba nilizowasilisha au unaweza uka google kuhusu faida za mayai ya kwale (quails)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom