habari zenu wakuu,nina iphone 4s sasa screen imekufa haifanyi kazi kabisa.sasa kama kuna mtu anayo iphone mbovu naomba aniuzie display.
kama ipo niPM tuongee biashara au nibeep au nipigie...
Lina ukubwa wa ekari 4 zilizopimwa kwa mita na siyo kwa miguu. Liko Makurunge umbali wa kilometa 8 kutoka bagamoyo mjini kuelekea Msata kupitia Barabara mpya ya lami. Linafaa kwa kilimo, ufugaji...
Viwanja vinapatikana katika maeneo yafuatayo: Bunju, Madale,Goba, Salasala,Kigamboni,Kibamba,Charambe-Temeke na Chanika Na Mashamba Mkuranga, Kimanzichana,Bagamoyo na Mlandizi. Wasiliana nasi kwa...
Natafuta toyota cresta GX100 AU toyota mark 2 GX110 BEAMS 2000 ENGINE CC1980' iwe katika hali nzuri. Sichagui namba iwe A,B,C,D kitu muhimu IWE katika hali nzuri.
Mwenye nayo na anauza anipe...
Price 200,000 Pesa za kitanzania
Condition: Ina clack kwenye kava la nyuma (angalia picha) pia mic mbovu
Feautures: 16Gb, Wifi,3G inatumia mini-sim card iko unlocke line zote haina icloud account.
Piga 0656 43 66 62 au tuna msg ya kawaida
Au wasap elezea untaka gari ya aina gan na offer yako
Kma uko na uhitaji huo fanya hivyo sasa wala usichelewe
0656 43 66 62 karbun sana
Habari zetu, Kama mtu yoyote ana vw( golf, Passat.....) au audi (a3,a4,.....) yenye engine ya 1.8T ( 1997~~2004), iwe Ina matizo (tutapatana bei) au nzima ani pm. Thank you.
Ina Vyumba viwili, jiko, bafu, stoo, sebule kwa Tshs. 350,000/- kwa mwezi (ambayo inajumlisha na umeme).
Iko katika hali nzuri sana, bado mpya. Sakafu ndani ni ya vigae, na uwanja wa nje...
Mimi ni fundi pikipiki ninaomba kama kunam2 ambae anaweza kujoin na mimi mahali,yeye afungue duka la kuuza sparepart na mimi nitengeneze... Kijiwe kipo mahali nisha chunguza na kupata.,nitafurahi...
1.bodi la bajaj two stroke
2. internal vga cable ya laptop hp probook
3. anaehitaji gari aina ya gaia na toyota hilux
4.pikipiki iliyopo barabarani ya bei rahisi sana
mawasiliano 0713 77 47...
Helli ya mwaka mpya wandugu,ninashida na simu ya kawaida yaani ya button isiwe touch wala smart phone yenye wifi mpya isiwe zaidi ya laki 2 .nimezunguka maduka kibao napata smartphone na za...
Make: Suzuki
Model: Swift
Model Number: GH HT51S
Body Type: Station Wagon
Colour: Pearl
Class: Light Passenger vehicle (Less than 12 persons)
Year of Manufacture: 2000
Chasis No...
Suzuki Carry iko mwanza,maeneo ya buhongwa town ,bei 5.8M,maongezi yapo...mwenyewe nayo ni aunt yangu anazo mbili na kijana wa kuitumia hii moja amerudi kwao so anaiuza ili isikae tu..
kila kitu...
Habari zenu wana JF, mimi ni msichana mtafutaji, nauza vitu vya Silva kama cheni, hereni, pete, vito na kadhalika. Niko Dar es Salam, ukihitaji naweza kukuletea ulipo kwa walio Dar.
Unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.