Habari wana jamii form, naombeni msaada wenu nataka kujiajiri kwa kuanzisha biashara ya cement, naombeni mtu mwenye ujuzi na biasharahii anipe mongozo na wapi ninaweza pata simenti kwa bei ya...
Nina shida na hela niPM nikuuzie S3 mini ila iclack kioo, kazi inapiga kama kawaida, kwa kifupi iko poa kabisa,
tuwasiliane kama upo interest nipo mwanza
kama heading ilivyo, wapi naweza kupata net nzuri hizi za kisasa, kwa mfano kuna moja niliona mwaka juzi ya kushusha kwa kuvuta kamba. na je ni bei gani? Nimechoka hizi za kawaida. Nipo Arusha.
kiwanja Dar es Salaam,kipo Salasala-Kinzudi.Kimebaki cha Ukubwa wa square mita 400 yaani 20x20, umeme upo na nguzo ya umeme iko jirani kabisa na kiwanja.Pamejengeka na nieneo linalokuwa kwa...
Nina majogoo kama 20 nayauza bei ni Kati ya 13,000- 15,000 kulingana na kuku mwenyewe.
Kuku wapo Dar, nawauza ili kiwapunguza kwasababu majogoo yekua mengi katika Zizi langu .
Ni wakienyeji safi...
Kwa wale ambao wapo Dar, wanahitaji riwaya ya Njama ya Musiba, habari njema kwao ni kwamba riwaya hiyo inapatikana kwa wauza magazeti Mtaa wa Msimbazi karibu na jengo la klabu ya Simba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.