Eneo linauzwa Bagamoyo

Eneo linauzwa Bagamoyo

Nkurukumbi

Senior Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
196
Reaction score
78
Lina ukubwa wa ekari 4 zilizopimwa kwa mita na siyo kwa miguu. Liko Makurunge umbali wa kilometa 8 kutoka bagamoyo mjini kuelekea Msata kupitia Barabara mpya ya lami. Linafaa kwa kilimo, ufugaji, ujenzi n.k liko umbali wa km 1 kutoka barabara ya lami iendayo Msata. Bei milioni 8 tu maongezi yapo kwani mteja anatakiwa haraka sana. Kwa mawasiliano karibu pm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom