Msaada wapendwa: Nahitaji simu ya gharama ila isiwe Smartphone

Msaada wapendwa: Nahitaji simu ya gharama ila isiwe Smartphone

ladypeace

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
935
Reaction score
507
Helli ya mwaka mpya wandugu,ninashida na simu ya kawaida yaani ya button isiwe touch wala smart phone yenye wifi mpya isiwe zaidi ya laki 2 .nimezunguka maduka kibao napata smartphone na za kutouch tu .yoyote anaejua duka linalouza hiyo aina ninayotaka anisaidie.
 
Back
Top Bottom