Natafuta GX100 au GX110

Natafuta GX100 au GX110

humbleguy

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2013
Posts
226
Reaction score
100
Natafuta toyota cresta GX100 AU toyota mark 2 GX110 BEAMS 2000 ENGINE CC1980' iwe katika hali nzuri. Sichagui namba iwe A,B,C,D kitu muhimu IWE katika hali nzuri.

Mwenye nayo na anauza anipe bei yake. Wasiliana na mimi PM ukiweza niwekee picha ya gari,kitu muhimu iwe katika hali nzuri.

Asanteni
 
Tembelea Kupatana na www.cheki.co.tz atapata hicho ukitakacho bila usumbufu wala kupoteza muda.
 
Back
Top Bottom