msaada anaejua jinsi ya kupata kuku wazalishaji, nataka kuanzisha mradi wa kuangua vifaranga niuze, vifaranga ninaohitaji kuuza ni chotara,
Kama unahitaji chotara unaweza kucrossbrid mwenyewe. Kwa mfano kuku wa mayai ya kisasa akipata jogoo ataweza kutaga mayai ambayo utawawekea kuku wa kienyeji nao watayaangua au ukayaangua na mashine. Au kaulizie Ruvu JKT wana uzoefu sana na wanauza vifaranga. Au nenda Farmer's Center Ilala Amana utawaona na watakuambia wapi utapata vifaranga. Wao pia nadhani wanaweza kuwa navyo.
hao vifaranga watakua naubora uleule?
Ndiyo. Watakuwa bomba.
Je bata bukini waungwana mwenye taarifa...
vipi tabia zao,.watakua kienyeji au mchanganyiko,.namaanisha kuhusu kulalia na kwa majogoo umachachari.