Nauza vito vya Silva: Jumla na Rejareja

Nauza vito vya Silva: Jumla na Rejareja

s_faith

Member
Joined
Oct 29, 2014
Posts
9
Reaction score
4
Habari zenu wana JF, mimi ni msichana mtafutaji, nauza vitu vya Silva kama cheni, hereni, pete, vito na kadhalika. Niko Dar es Salam, ukihitaji naweza kukuletea ulipo kwa walio Dar.

Unaweza kunicheki kwa 0769 456 582, Karibuni sana!
 
Weka picha ya sample na bei basi ili mtu akikupigia umpelekee anakuwa anajua bei kabisa.
 
Asante kwa ushauriii kwa reja reja nauza 6000 gramu kwa jumla maongezii kutokana na mzigo ataohitaji
 
Habari zenu wana JF,mimi ni msichana mtafutaji nauza vitu vya silva kama cheni,hereni,pete,vito na nk,,niko dar es salamu,,ukihitaji naweza kukuletea ulipo kwa walio dar,,,,,,unaweza kunicheki kwa 0769456582,,,karibuni saaanaa
Hamadi !! dada yangu naomba uniambie unayo hii silver maana natafuta.....
 
natafuta heren za ringi ndogo my dearkama unayo naomba uniambia gram ngapi kwa standard ya hereni ya ringi
 
natafuta heren za ringi ndogo my dearkama unayo naomba uniambia gram ngapi kwa standard ya hereni ya ringi

Ninazo kuanzia gramu moja na nusu na mbili za urembo tofauti tofauti. Ukihitaji takuletea uchague
 
Back
Top Bottom