Hi wanajamii!
I have a Toyota IST with D series registration (DCF) which i want to rent to anyone interested a fee of Tzs30,000 per day for all routes in Dar. Upcountry trips to be negotiated...
SONY XPERIA Z2 Black
16GB internal storage
Micro SD Slot
Android 4.4.4
With original noise-cancelling headphones and charger.
Will include Flip Case
Price 550,000
used 6 months. In very good...
Habari wanajamii forums.
Nyumba ya kawaida ipo Vikindu kwenye barabara inauzwa million 20 ukubwa wa kiwanja chake ni 20 kwa 20 ina mpangaji mmoja.Alafu kuna heka mbili zipo Vikindu Magenge 20...
Habari wakuu.
Nauza laini yangu ya uwakala wa M-PESA kwa bei ya tshs.180,000/=,ina document zote.Napatikana Dar es salaam.Bei inapungua.Kwa anayehitaji namba yangu ni 0719265606.
Karibuni sana
Nyumba ya vyumba 3 vya kulala , kimoja master jiko , dining , public toilet na store , inapangishwa eneo la kipunguni B mosh bar , maji yapo ya kutosha bei ni Tsh 250,000 kwa mwezi , miezi 6...
Gari inahitajika Mark II grand namb C iwe na hali nzuri cause itakua inasafiri mbali, kama ipo tuma picha kwa whatsapp number 0786 360 818 au piga simu.
Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya moshi mjini soweto,majengo,pasua,etc.Iwe ya kuanzia vyumba viwili na kuendelea na angalau kimoja kiwe master bedroom na jiko na sebule.
Iwe na fence/ukuta na...
Nyumba inauzwa....!!
Ipo kigamboni block b
ina vyumba 4 (self moja) pia ina sebule kubwa mbili, ina gereji/store....
Pia kiwanja cha nyuma ya nyumba, matenk
ukubwa wa kiwanja ni sq meter 645
pia...
Habarini wakuu.
Nina kiasi cha shillingi millioni 4, nahitaji gari zuri kwa ajili ya mizunguko ya hapa mjini, lisiwe na ubovu, liwe katika hali nzuri.
Nipo Dar.
Kiwanja cha makazi kinauzwa eneo la Ilazo Dodoma, 3.5km kutoka barabara ya Dodoma-Dar es salaam. Bei ni Milioni 15, kina hati miliki pamoja na ramani ya kisasa. Huduma za umeme na maji zipo karibu...
Model 2002
Cc. 1495
Garii hii haina tatizo bali tu inadaiwa road licence 1 million. Hiyo utalipa wewe mwenyewe ndio mana inauzwa kwa bei ya kutupa 2.8ml
ABOUT ME!
For More Information Please...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.