Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 3,029
- 8,379
Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya moshi mjini soweto,majengo,pasua,etc.Iwe ya kuanzia vyumba viwili na kuendelea na angalau kimoja kiwe master bedroom na jiko na sebule.
Iwe na fence/ukuta na iwe sehemu nzuri kiusalama. Budget yangu ni 150,000-180,000 per month. Nataka kuhamia march mwanzoni.
Asanteni.
Mawasiliano yangu ni 0754327452.
Iwe na fence/ukuta na iwe sehemu nzuri kiusalama. Budget yangu ni 150,000-180,000 per month. Nataka kuhamia march mwanzoni.
Asanteni.
Mawasiliano yangu ni 0754327452.