khaliciouz
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 579
- 212
kwani imefika ngapinyumba nzuri, ila bado sijafikisha hiyo hela ngoja niendelee kukusanya
sifahamu...hujajibu bado swali kwa ile thread nyingine yenye tangazo km hili
...je huko Mikadi hakupo katika mpango wa serikali wa mji mpya?
karibu uje uioneHiyo nyumba ya millioni 130 mbona siioni hapo. Hebu weka picha ya muonekano wa nyumba kwa nje, hivyo vipande vipande havionyeshi hali halisi.
Tiba
sifahamu
Uliza utujibu
Vr cheap men!
nimeambiwa siyo kweli.
mkuu tuna ugomvi?Una uhakika au unataka uuze tu msala uachie mteja.