Kiwanja kinauzwa Ilazo Dodoma

Kiwanja kinauzwa Ilazo Dodoma

Benny13

Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
32
Reaction score
6
Kiwanja cha makazi kinauzwa eneo la Ilazo Dodoma, 3.5km kutoka barabara ya Dodoma-Dar es salaam. Bei ni Milioni 15, kina hati miliki pamoja na ramani ya kisasa. Huduma za umeme na maji zipo karibu sana.

Kibiashara zaidi nipigie 0759017005 au 0718964346.

Madalali hawausiki
 
Kina ukubwa gani??!!!
Sikukatishi tamaa ila bei yako sio halisia. . .. . .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom