Wadau nyumba inauzwa haraka, muuzaji ana anadaiwa na bank muda aliopewa umeisha. Nyumba iko ndani ya kiwanja chenye hati ya makazi.
Bei ni 131,000,000m meza ya mazungumzo iko wazi, baada ya makubaliano unaweza kulipia nusu na na kiasi kingine ukapewa muda. Lengo ni deni la bank kulipwa kwanza. Mauziano yatafanyika baina ya mdeni wa bank na mnunuzi pamoja na bank. Kwani hati ya makazi iko bank.
Kwa mawasiliano piga 0773 944 944