Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Hallo, Ninahitaji Kiwanja Ilala Kitunda-Mwanagati. Ofa yangu ni: Tsh 7,500,000/- Ukubwa: (Sqmt 600 hadi Sqmt 1,000) Conditions: 1. kiwe na Documents Halisi(HATI) 2. Tambarare, Kisiwe na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ina ukubwa wa kutosha duka la vipodozi , au duka la chakula au ofisi nk. Ina mlago wa aluminium na floor tiles ndani na nje kwnye baraza. Ipo kati ya maduka manne. Kodi kwa mwezi ni 130000/= na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu nataka simu tajwa hapo iwe mpya full box. mwenye nayo aweke bei.
0 Reactions
0 Replies
593 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mwenye nayo tuwasiliane
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari wakuu, nauza simu tajwa hapo juu, imetumika kwa muda wa miezi mitatu, iko katika hali nzuri kabisa, sababu ya kuiuza ni kuwa nimepata simu nyingine,specifications zimeineshwa kwenye screen...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari zenu wadau, nauza line ya tigo pesa kwa Tsh.300000. Mawasiliano: 0712687590
0 Reactions
2 Replies
834 Views
Ninawakaribisha Katika Chuo Cha "Mlima Wa Neema" Kilichopo Ruaha Kilombero. Baadhi Ya Kozi Zinazofundishwa 1. Misingi Ya Wokovu 2. Misingi Ya Kiroho 3. Misingi Na Kanuni Za Utumishi 4...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari wakuu nauza laini yangu ya uwakala wa m-pesa,being ni tshs.150,000/- maelewano yapo.Nipo dar es salaam.Mawasiliano 0673404808
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Viwanja hivi vipo tambalale , na ni vizuri vinakatwa kwa ajili ya makazi miguu 50 x 50 , kwa bei ya 4m. vipo vikindu kisamvule , mkuranga Pwani . ni mwendo wa km 16 kutoka mbagala rangi 3...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Nauza viwanja bei rahisi sana , vipo eneo la Cheka Kigamboni ni mwendo wa 15km toka mji mwema. vipo umbali wa mita 700 kutoka baharini na mita 200 kutoka barabara kuu. vimepimwa kuna sqm...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari zenu wadau.. Naitaji ofisi space ya sqm25 ivi au sehemu nzuri ya kufanyia ofisi maeneo ya mwenge, kinondoni au morroco ivi ni pm kama available space ipo
0 Reactions
9 Replies
1K Views
KIWANJA CHENYE UKUBWA WA MITA ZA MRABA 1844 ( area 1844sm) , kiko Mbweni Malindi ( Dar es Salaam) Block C kinauzwa. Bei ni 150M. Mawasiliano: 0762367836. Shukrani.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, muhitaji niPM kwa mawasiliano, nipo Dar.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Toyota Brevis 2002 inauzwa - 11.5Mil (new) imeagizwa kutoka Japan. Gari linapatikana katika yadi zetu na gari lipo katika hali nzuri ya ubora kabisa. Gharama hii inajumuisha kila ktu -vehicle...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa Mbezi Msakuzi barabara ya kwenda Mpijimagoe kituo cha daladala ni Freetown (Pilikapilika) mita100 kutoka kwenye barabara, umeme ni wa kushusha waya, sio nguzo na kuna barabara za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanajamii, Kuna mtu anafahamu lodge yoyote iliopo karibu na stendi ya mkoa ya Moshi ambayo gharama yake ni around 15,000 - 20,000. NTASHUKURU MKINIHABARISHA
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nauza mayai ya kwale kwa bei ya 20000 trey na 15000 kuanzia trey 10.Napatikana Dar es salaam na mwanza. Mawasiliano 0715881870au 0756933156 Karibuni sana
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Kwa mwenye kuuza friji-friza used size ya kati iliyo katika hali nzuri aniuzie. Nicheck kwa; 0718257680
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana jamvi naomba msaada wa kuwaweza kupata mashine ya kupukuchua mtama,uwele na mahindi kama nilivyoeleza hapo juu.Je,naweza kununua wapi na bei yake. Naomba mawasiliano yawe wazi hapa javini ili...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
tafadhali kama unayo tupia hapa pcha niione
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…