Kiwanja kinahitajika Mwanagati Kitunda

Kiwanja kinahitajika Mwanagati Kitunda

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1,286
Reaction score
488
Hallo,

Ninahitaji Kiwanja Ilala Kitunda-Mwanagati.

Ofa yangu ni:

Tsh 7,500,000/-

Ukubwa: (Sqmt 600 hadi Sqmt 1,000)



Conditions:
1. kiwe na Documents Halisi(HATI)
2. Tambarare, Kisiwe na Bonde.
3. Sitaki Dalali. Muhusika awe ni mwenye Mali.
4. Ambacho hakijaendelezwa.
5. Kusiwepo na Deni(Ardhi)
6. Pasiwe na Mkondo wa Maji
7. Kisiwe Kiwanja cha Urithi
8. Kilochopo karibu na Shule ya Mzinga Secondary, Ntaongeza Hela Kidogo.
9. Should be Surveyed, sitaki Squatter.

Thanks.
 
Chekinahyudada tulimyuzuaviwanja vyake
0658215540. Hopeatakuwa navyobadp
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom