Habari wakuu,
Kuna jamaa amenitumia nimtafute Ofisi maeneo ya Mjini.
Maeneo ya Harbour view au mengine ya City Center
Ukubwa 50sqm.
Haya fungukeni bei zenu na maeneo yake,kama stree...
Kutokana na stabiliza nyingi za dukani kushindwa ku kukuza umeme,hivyo kufanya mafriji makubwa kushindwa kugandisha,sasa kuna stabilizer maalumu ambazo zinasukwa zitaifanya friji yako ifanye kazi...
Nauza kiwanja na nyumba ya vyumba vinne iko kwenye lenta. Iko chanika buyuni karibu na nyumba za pspf. Kiwanja size 35*35. Karibuni. Specification za nyumba ni 4 bedrooms, 3 bathrooms, big...
Nyumba mpya inapangishwa ipo Kigamboni maeneo ya Kibada.
Nyumba ni self cointained, ina vyumba vitatu, kimoja ni Master. Sebule, jiko na sehemu ya kulia. Kuna choo na bafu vinavyojitegemea.
Kama...
Gari aina ya suzuki maruti omni inauzwa bei 5ml ni nzima kabisa inafaa kwa kubebea mizigo midogomidogo au abiria ina seat nyuma mawasiliano 0657 23 60 94
Watu binafsi na maofisi hasa kwenye mikoa ya jua kali kama Dar,Morogoro na Dodoma hii ni nafasi ya kuyalinda magari yenu mnayoyapenda kwa bei nafuu kabisa.Unaweza ni PM,email at...
Pikipiki iliyotumika inahitajika haraka. Vigezo vifuatavyo vizingatiwe:-
1: Iwe imetumika si zaidi ya mwaka mmoja.
2: Isiwe ya wizi.Iwe ni mali halali ya mtu.
3: Iwe na nyaraka zote...
Nahitaji chumba cha kupanga Jijini Dar es salaam, kwa miezi mitatu tu, maana baada ya kipindi hicho nahamia mkoa mwingine. Aliye na chumba please tuwasiliane au ani-pm. Anieleze kiko sehemu gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.