Nyumba inauzwa Njiro Arusha bei 140ml

Nyumba inauzwa Njiro Arusha bei 140ml

NOSVELA

Senior Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
198
Reaction score
27
Kiwanja kina sqm 1800 yaani 30 kwa 63 ina title selfu kubwa servant kota na godown dogo mawasiliano 0657 23 60 94
 
Asante kwa tarifa mkuu, vp kuhusu chumba single room naweza pata maeneo karbu na A town, mm npo majengo.
 
asante kwa tarifa mkuu, vp kuhusu chumba single room naweza pata maeneo karbu na a town, mm npo majengo.
chumba unataka mitaa gan mkuu, picha simu yangu inasumbua kidogo kama una whats upp naweza kukurushia mkuu
 
ungetuvutia basi angalau kidogo na kusema ina vyumba vingapi....kama kuna geti na ukuta....maji na umeme...
ni bungalow au sio? unaweza nitumia picha kwa e-mail?
 
ungetuvutia basi angalau kidogo na kusema ina vyumba vingapi....kama kuna geti na ukuta....maji na umeme...
Ni bungalow au sio? Unaweza nitumia picha kwa e-mail?
ina vyumba 3 vya kulala master, dinning, jiko sebule na stoo
 
Nyumba ina kila kitu umeme maji eneo kubwa ni kama viwanja vitatu vya 20 kwa 30
 
Nyumba vya kupanga moshono utapata vyenye sifa zote ulizotaka bei 40,000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom