Nahitaji chumba cha kupanga Dsm kwa miezi mitatu tu

Nahitaji chumba cha kupanga Dsm kwa miezi mitatu tu

Kamanda Kazi

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
2,613
Reaction score
799
Nahitaji chumba cha kupanga Jijini Dar es salaam, kwa miezi mitatu tu, maana baada ya kipindi hicho nahamia mkoa mwingine. Aliye na chumba please tuwasiliane au ani-pm. Anieleze kiko sehemu gani na kodi ni shs ngapi!
 
Kipo Chumba kimoja chenye Jiko lake pamoja na Sebule.
Samani zote muhimu za ndani unapatiwa.
Ghorofa ya pili, Beach unaichungulia ilee
Mahali:Msasani, jirani kabisa na Msasani 'Slip Way',
Mtaa maarufu 'Kwa Kabila'.

KODI: $200 kwa Wiki.
Ukihitaji kwa miezi sita au zaidi utatozwa kodi ya $600 kwa mwezi.

Kama unadhani itakufaa tutafutane kwaajii ya kuthaminisha.
 
Back
Top Bottom