Gari Suzuki Maruti Omni inauzwa, bei 5ml

Gari Suzuki Maruti Omni inauzwa, bei 5ml

NOSVELA

Senior Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
198
Reaction score
27
Aina suzuki maruti omni ya mwaka 2010 imetembea km 63000 ipo arusha rangi nyeupe. Inafaainafaa kubebakubeba bbox za madukani na abiria pia
 
Maelezo hayajitoshelezi kamanda, jaza nyama na tupicha pia
 
Simu yangu inashida kidogo nashindwa kuatach picha gari ipo arusha ila kama una simu ya whts up nikurushie chap mkuu
 
Simu yangu inashida kidogo nashindwa kuatach picha gari ipo arusha ila kama una simu ya whts up nikurushie chap mkuu

Wewe utakuwa ni dalali mpya, maana haiwezekani uwe na gari halafu ukose simu yenye uwezo wa kutuma picha hapa jf.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom