Uliposikia ungeongeza na hili swali lako ili upate jibu.
kama hujui kaa kimya mzeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
mara yamwisho s4 ilikua 600, kuhsu note cjui
Naomba nioneshe hilo duka nikachukue hizo 600 mkuu.
Ntachukua 10 na wewe ntakupa 5 ili ukawagawie na wanao.