The Red Pen
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 517
- 206
Pikipiki iliyotumika inahitajika haraka. Vigezo vifuatavyo vizingatiwe:-
1: Iwe imetumika si zaidi ya mwaka mmoja.
2: Isiwe ya wizi.Iwe ni mali halali ya mtu.
3: Iwe na nyaraka zote mhimu za umiliki.
4: Iwe ndani ya Dar es salaam.
5: Isiwe mbovu.
Haya sasa wakuu kazi kwenu....
1: Iwe imetumika si zaidi ya mwaka mmoja.
2: Isiwe ya wizi.Iwe ni mali halali ya mtu.
3: Iwe na nyaraka zote mhimu za umiliki.
4: Iwe ndani ya Dar es salaam.
5: Isiwe mbovu.
Haya sasa wakuu kazi kwenu....