INVENTORY MANAGEMENT SYSTEM is a desktop software which can be used to control inventory of your business; Manage your transactions easily, Sales Report, Stock Management, Client and supplier...
I currently have half a dozen clients urgently looking to spend their money on buying a new home in Osterbay, Msasani, Masaki, Mikocheni, Upanga , Mbezi Beach , Jangwani Beach, Bunju...
Wadau kuna ndugu yangu hapa analeta sokoni hiyo kitu, Sony Video camera amenipa taarifa zake kuwa inafanya kazi vizuri, isipokuwa kwenye built in mic ndo kuna itilafu ndogo.
Bei 1.3m.
*****GARI IMESHAUZWA*****
Toyota Progress ya mwaka 2001 inauzwa shilingi Million 6 tu.
Automatic
2500 cc
Imeshatembea 78500Km tu
Ipo nchini tangu 2010
Bado iko katika hali nzuri sana, engine na...
suzuki escudo model 5 door.
automatic gear
engine haijawahi kuguswa na gari haina tatizo lolote
iko dar ukihitaji kuiona nichek kwa 0656497469 ama 0763969066
Habarini wana JF nina bati nauza gauge28, futi 10, rangi ya choclate,zipo mia moja migongo midogo za Africa kusini alie tayari ani PM au nitafute kwa 0715512764 au 0788 924584 kwa ajili ya bei na...
Hello members...
Natafuta apartment ya kupanga maeneo ya Upanga au karibu na hapo ili kuwa karibu na mahali pangu pa kazi.
Kwa kuanzia; chumba cha kulala (1), sitting room na jiko kitanitosha...
Ipo Mwanza Buswelu, ina chumba cha master kimoja, vyumba viwili vya kulala vya kawaida, choo cha ndani(public toilet), sebule, stoo, jiko, kibaraza. pia ina eneo la kutosha ambalo laweza kufaa kwa...
Ni kampuni ya watanzani
Ina jishughulisha na
Swala zima la kuprint vifuatavyo
Tshrts,vikombe,kalamu,kofia nk
Tunaprint kwa kutumi mashine y kisasa
Kabisa kwa uhitaji wako tafadhali piga...
Inahitajika gari tajwa hapo juu iwe inatumia Battery moja na ambayo imeshatumika hata hapa Nchini Engine iwe haijawahi kushushwa na isiwe kimeo karibuni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.