Niaje mkuu! Hiyo ni hzj ambayo ni # ya chases ya hyo cruiser.
Kingine funguka zaidi khsu spec ya hyo cruiser mfano aina gani ya engen inatakiwa na Taja offer ya bei ya kununua!
Ofa nipe wewe ila Engine ni 1hz mkuu.
Inauzwa mln 55
Duh!! Ofa yangu ni 25 mwisho kabisa 27 mrangi.
Nmeku pm swali lingine hizi gari ziko aina mbili kna moja inakuja na lif spring mbele na nyuma
Na kuna ingine mbele ina coil spring na nyuma ona lif spring, ipi kati ya hiyo