Nyumba inauzwa

Nyumba inauzwa

braza_ambro

Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
15
Reaction score
8
Ipo Mwanza Buswelu, ina chumba cha master kimoja, vyumba viwili vya kulala vya kawaida, choo cha ndani(public toilet), sebule, stoo, jiko, kibaraza. pia ina eneo la kutosha ambalo laweza kufaa kwa shughuli kama egesho la magari, ufugaji hata ujenzi.
KIASI: milioni 30 (maelewano yanaruhusiwa).
MAWASILIANO: phone: 0763309707
email: ambrosemapande@gmail.com
Note: 80% ya ujenzi imekamilika
kuwa huru tuwasiliane kwa kiasi ulichonacho tutaongea.
 

Attachments

  • 1428396866191.jpg
    1428396866191.jpg
    101 KB · Views: 240
Bei powa mbona, rahisi kweli, Nyumba hapo ilipo milioni 30? Sipatani kama ningekuwa nahitaji 😃
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom