Kwa vile umejiunga January mwaka huu sikulaumu,maana hata mie was the same.
Tangazo lako liko juu sana.
Angalia wenzio wanavyopost matangazo ya kuuza magari kisha uweke sawa.
Ila kama ni dalali basi wengi wanaumbuka humu.
Kuuza nirahisi sana ila namna ya kuweka tangazo kwa wahusika ndio inakuwa shughuli pevu.
Tambu kwamba wanunuaji wa siku hizi wanamaswali mengi sana,na mengine hadi yanakera.Sasa lazima uanze kufunguka kabla ya wakatisha tamaa hawajavamia uzi wako.
Kwamsaada kidogo tu ili kupunguza maswali
-Weka km imezotembea
-Bei
-Picha
-Mkoa ilipo
-Ilikuwa inafanyakazi Private au mlikuwa mnaipiga Dalalada deluxe