LG G pro
used for two monthes
has a single crank but every thing works perfectly
specifications:internal memory 22GB
camera 13megapixel
android yake ni kit...
Baileys 750ML sealed pamoja na Johnnie Walker 750ML sealed zote zinaenda kwa 60,000 ukinunua moja moja ni 33,000 kila moja wahi jaman ziko izi mbili tuu
Kipo keko ya magurumbashi kina ukubwa wa 500sqm pia kina leseni ya makazi.
Bei 6.2mil tzs maelewano yapo.
NB: Gari haifiki mpaka kiwanjani.
Pm for more details and photos.
Wakuu,
Natafuta mtu anayeweza kuchukua co-ordinates za kiwanya changu ili kuweza kupata ramani ya mipango miji. Lengo ni kujua mipaka ya barabara ili kuepuka usumbufu wa bomoa bomoa miaka ijayo...
Kuna dili ya nyumba chap kama we ni dalali na uko makin na kazi yako tiuwasiliane hapa..0654715457
kiufupi nyumba ipo boko ina eneo la kupaki hadi gari 5..tuwasiliane fasta!!
Mt 18 kwa Mt 20 nyumba self 3 bedroom usawa wa lenta materials mchanga kokoto na tofali miti gravilia 20 migomba kiko njiro karibu na world vision bei m 28.5
Wahi sasa kwa walioserious piga...
Ndugu wana JF,
Je, wewe unatafuta vifaa vya hospitalini vipya au ambavyo vimetumika? 0Unaweza ukapata suluhisho la tatizo lako. Segoma traders ni kampuni mpya inayoweza kutatua kwa kukutafutia...
Ni vipi wakuu. Kwa wale wapenda cheni, mikufu, vidani, nk., nauza cheni za silver zenye vidani (sifahamu kama litakuwa jina lake sahihi), vitakavyoweza kuwa 'customized' na information zako kama...
Kwa wale wote wanaohitaji biashara za kimtandao kama vile blog, website, forums, mobile app and zingine nyingi, Mabingwa tupo. Pia tunauza blogs zenye matangazo kabisa kwa anayehitaji, kazi yako...
Tuna viti vya maskuli.
Viti vimeshatumika lakinini vipo katika hali nzuri.
Viti vipo njiani kupakiwa kutoka Toronto kuelekea Zanzibar.
Kwa atakayetaka tuna viti 400.
Tuwasiliane kwa...
Habari Wadau,
Nahitaji Kiwanja cha eka 1 maeneo ya Kisarawe,Kibada,Toangoma kisicho pimwa kiwe na bara bara ya gari hadi kwenye kiwanja,Sihitaji dalali nataka kufanya biashara na Mwenye kiwanja...
Gari aina ya subaru inauzwa used CC 1990 imetembea kilomita 94,000 six cylinder na ni turbo bei n million 11....... Picha simu inazngua ku apload!!! Ila kwa maelezo zaidi nicheki kwa namba hii...
A nice plot of land at Lake Manyara National Park, Tanzania, is offered for sale: Size: 21 acres (8.6 Ha) Clean title deed for 99 years. Bordering the animal corridor, which allows wild animals...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.