Natafuta apartment for rent - Upanga

Natafuta apartment for rent - Upanga

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Posts
20,334
Reaction score
23,943
Hello members...

Natafuta apartment ya kupanga maeneo ya Upanga au karibu na hapo ili kuwa karibu na mahali pangu pa kazi.

Kwa kuanzia; chumba cha kulala (1), sitting room na jiko kitanitosha.

Mnaweza hata kunisaidia price range za maeneo hayo hata kama hufahamu exact house...

Natanguliza shukrani.

#Mentor .
 
Studio appartment (chumba kimoja) anzia laki saba mpaka 2M kwa mwezi.
 
Duh hiyo Upanga ipi bro. I was thinking of a budget ya <=400,000/-

Laki nne chumba cha kawaida tu Mkuu, peninsula yote iko juu kaka! Subiri nakuangalizia namba ya dalali nitakupa, ukimweleza mahitaji yako huenda akapata cha bei rahisi, lakini apartment ya maana kwenye gated community maeneo hayo inatakiwa ujipange hasa.
 
Back
Top Bottom