Get Medical - Surgical equipments

Get Medical - Surgical equipments

viking

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,289
Reaction score
1,426
Ndugu wana JF,

Je, wewe unatafuta vifaa vya hospitalini vipya au ambavyo vimetumika? 0Unaweza ukapata suluhisho la tatizo lako. Segoma traders ni kampuni mpya inayoweza kutatua kwa kukutafutia baadhi ya vifaa vya Mahospitalini na Maabara kama vile vitanda, Microscope, Ultrasound machine, Dental chair, Anaesthesia machine, Operating table n.k.

Usisite kuwasiliana nasi kwa email ya segomatraders@gmail. Vitu utakavyo agiza vitatoka Uingereza.
 
Toa bei ya used dental chair na spec. zake na dental articulator semi adjustable, heat & cold cure acrylic powder and liquid, impression materials na filling materials.
 
Dental chair. Price inategemea na manufacturer ,kwa used price inaanzia dola 350 mpaka 8000. Halafu ukija kwenye hizo accessory bei iina tofautiana lakini wastani haizidi dola 1000 kwa vitu ambavyo vimetumika kama vile drill au compressor .For more info email at segomatraders@gmail
thanks
 
Back
Top Bottom