Madalali mpo? Anahitajika Dalali wa kuuza Nyumba

Madalali mpo? Anahitajika Dalali wa kuuza Nyumba

mickyMICKIZ

Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
39
Reaction score
3
Kuna dili ya nyumba chap kama we ni dalali na uko makin na kazi yako tiuwasiliane hapa..0654715457
kiufupi nyumba ipo boko ina eneo la kupaki hadi gari 5..tuwasiliane fasta!!
 
Mungu akubariki sana kwa kuonyesha upendo wako kwa madalali wenzio.
Yaani imefikia hadi dalali anampa kazi dalali mwenzie ili maisha yaendelee.
Huu ni upendo wa kuigwa sana.
 
Hakuna aliefanikiwa peke ake hata katika historia ya dunia....ndio maaana kuna kitu kinaitwa share...
 
Back
Top Bottom