King Shaat
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 863
- 835
Ni vipi wakuu. Kwa wale wapenda cheni, mikufu, vidani, nk., nauza cheni za silver zenye vidani (sifahamu kama litakuwa jina lake sahihi), vitakavyoweza kuwa 'customized' na information zako kama zile tunazoziona zikivaliwa na wanajeshi wa marekani.
Pia kuna silver bullets silver chains kama mnavyoona hapo.
Kwa atakayekuwa interested ani'PM tuweze kufanikisha uwe na yako.
Pia kuna silver bullets silver chains kama mnavyoona hapo.
Kwa atakayekuwa interested ani'PM tuweze kufanikisha uwe na yako.