Nyumba bei bure Arusha

Nyumba bei bure Arusha

harakat

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
2,887
Reaction score
1,361
Mt 18 kwa Mt 20 nyumba self 3 bedroom usawa wa lenta materials mchanga kokoto na tofali miti gravilia 20 migomba kiko njiro karibu na world vision bei m 28.5

Wahi sasa kwa walioserious piga 0767931887
 
Attachments

  • 1428131942382.jpg
    1428131942382.jpg
    62.9 KB · Views: 626
  • 1428131979064.jpg
    1428131979064.jpg
    116.2 KB · Views: 571
  • 1428132007957.jpg
    1428132007957.jpg
    89.9 KB · Views: 549
  • 1428132054121.jpg
    1428132054121.jpg
    80 KB · Views: 543
Mbona hata bei ya kiwanja kilichopimwa huko Njiro siyo bei hiyo? Hizo tofali ni ngumu au zile za biskuti?
 
Tofali ngumu hizo angalia vizuri hapo
 
Mt 18 kwa Mt 20 nyumba self 3 bedroom usawa wa lenta materials mchanga kokoto na tofali miti gravilia 20 migomba kiko njiro karibu na world vision bei m 28.5

Wahi sasa kwa walioserious piga 0767931887

Mkuu unatudanganya hakiko Njiro hicho, labda kiko Kwa Mrefu kule ndani ndani! Sijawahi kusikia bei ya chini hivyo maeneo ya Njiro!
 
Mkuu unatudanganya hakiko Njiro hicho, labda kiko Kwa Mrefu kule ndani ndani! Sijawahi kusikia bei ya chini hivyo maeneo ya Njiro!

Hamna uongo hapo kk kila kitu kiko sawa wewe tu na hela yako
 
Mbona ni karibu na bure hivyo mkuu? Umekumbwa na nini?

Maswali ya msingi ni kwamba hakina mgogoro? Maana Arusha kwa migogoro ya ardhi ni mwisho. Lingine Njiro siyo yote viwanja ni bei. Ulizeni Njiro ipi??
 
hapa ni nyuma ya chuo cha uhasibu sio?
 
Vip mkuu kimepimwa? Kina hati? Huo ni ukubwa wa kiwanja au wa nyumba?
 
Mm sitaki hiyo nyumba vunja nikupe 14m.

Hii ngumu kk du itakua sawa na kutupa hela. Ila hesabu zako nzuri tu

Kwa nn usitafute tu kiwanja?
Kuna hiyo hapo moshono kwa 18 m
 
Attachments

  • 1428293924771.jpg
    1428293924771.jpg
    126.2 KB · Views: 344
Watu wanaendelea kuulizia na baadhi wamepaona na kuahidi kujipanga kwa malipo atakaewahi ndio anakabidhiwa
 
Mbona mm nlitataka kwenda kuona unanipotezea mkuu au unataka wateja gani?
 
Mbona mm nlitataka kwenda kuona unanipotezea mkuu au unataka wateja gani?

Tutafutane si unajua sikukuu hizi kwa hiyo tukawa tunaendelea na bata kidogo
 
Back
Top Bottom