Tunauza mashuka makubwa ya cotton size 8*8.
Linakaa shuka moja na foronya mbili.Bei rejareja 20,000 tu.Jumla 18000 tu kuanzia pics 5
Tunapatikana sinza dar es salaam
0717373037 no ya oda
Heshima wakuu..Heri ya mwaka mpya.. anayehitaje Nissan Xtrail tuwasiliane ni mpya ya 2004 reg.ni CLM Details zingine;
colour; silver
cc; 1990
fuel; petrol
Automatic transmission
imetembea...
habari zenu wadau...pamoja na shughuli zangu ninazofanya za kibiashara vilevile nilivutiwa na rafiki yangu aliekua anakopesha fedha kwa riba na kupata faida kubwa kwa haraka...yeye alianza na mil...
Heshima kwenu wakuu!
Nahitaji laptop brand yoyote yenye sifa zifuatazo Hdd at least 500GB,RAM2GB,webcam,dvd rw,processor dual core,mmc slot na charge angalau saa 1.5 ikiwa inatumika
Nipo Geita...
Nyumba ipo dodoma mjini eneo la chamwino a. Karibu na shule ya msingi chamwino, mtaa wa nduka, ina ukubwa wa vyumba vitano, sebule,jiko,bafu mbele ya nyumba pia kuna kiwanja kinabaki unaweza...
Kiwanja ni tambalale kina ukubwa wa robo heka, maji na umeme vinapatikana , gari inafika mpaka kiwanjani bei ni Tsh 3,000,000 , kipo eneo la Miseko. nyalaka zote za serikari za mitaa zipo ...
Wadau wa hili jamvi napenda kuwafaamisha kuna IPAD 3 WiFi nzuri na clean kabisa inauzwa 340,000 tuu 64GB
Picha ya mbele ni iyo apo juu
Na picha ya nyuma hiyo apo
Nicheki PM kwa maelezo zaidi
Maelezo:
Eneo liko umbali wa kilomita 30 kutoka Kigamboni.
Eneo ni zuri: .Panafaa kwa makazi, ufugaji na kilimo.Tambarare,pana rutuba,pana maji yasiyo na chumvi
Panafikika kwa gari na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.