Kiwanja kinauzwa, kipo Mbande - Dar es salaam

Kiwanja kinauzwa, kipo Mbande - Dar es salaam

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
Kiwanja ni tambalale kina ukubwa wa robo heka, maji na umeme vinapatikana , gari inafika mpaka kiwanjani bei ni Tsh 3,000,000 , kipo eneo la Miseko. nyalaka zote za serikari za mitaa zipo . mawasiliano 0657145555
 
kipo kipo wakuu bei karibu na bureeee kabisa
 
Nitakutafuta jumamosi mkuu kama bado kitakuwepo.
 
hiyomiseko hipo maeneo gani fafanua? usije mpeleka mtu msongola? umbali kati ya balabala kuu ya mbagara msongora
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom