khaliciouz
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 579
- 212
Utauza, shusha tu bei kidogo, achana na na wapiga kelele wa humu, ipost kwenye pages za fb utauza, jukwaa hili limejaa wanafunzi wanataka kununua simu, wanashinda mitandaoni ku-"fantasize" magari mapyamapya...ukipost la zamani kidogo utakutana na maropoko!

hyo ungeuza laki9 watu wangechukua
Mleta uzi utaiuza tu hyo gari
nani atanunua gari bila card!
nani atanunua gari isiyokua na card,labda akawauzie wakulima huko vijijini
Hahaa, ulienda kukagua ukakuta haina kadi? wamekupa maelezo gani? Kama imepotea tu si tatizo sana, ningekuwa naihitaji jningeenda kuiona.
ndio,na najuta kupoteza muda wangu,gar haina card wanadai ilipotea nikamwambia twende TRA kagoma sasa kweli huyo anania ya kuuza hio gar au anainjoi watu?