Nakopesha kwa riba

Nakopesha kwa riba

ameline

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
2,292
Reaction score
1,152
habari zenu wadau...pamoja na shughuli zangu ninazofanya za kibiashara vilevile nilivutiwa na rafiki yangu aliekua anakopesha fedha kwa riba na kupata faida kubwa kwa haraka...yeye alianza na mil 30 na alikua maarufu sana hata wafanyabiashara wanaokwama marejesho na kodi hukimbilia kwake...basi mimi sikua na mtaji mkubwa sana nilianza na mil 10 nikawa nakopesha kuanzia laki 5 kwa riba ya laki...sasa mtaji wa kukopesha umekua mpaka mil 22 kwa miaka 2.ingawaje kuna changamoto za hapa na pale lakini navumilia tu ingawaje sijawahi kurushwa...

OMBI:
Naomba kwa yeyote mwenye uelewa na hizi microfinance institution anisaidie mfano kama finca, opportunity, brac n.k nafikiria kuanzisha Taasisi yangu pia ila sijui ni mtaji kias gani unatakiwa na vigezo gani..kwani natamani hata vijana wajiunde kwenye vikundi ili niwape hela za kuanzia polepole ila kwa hi style yangu ya kukopesha kienyeji sitaweza kwa hili.
Naomba mwenye uelewa anisaidie tafadhali..hata kuonana nae ikiwezekana..nipo arusha..wengi wenye hizo taasisi ukiomba ushauri wanadharau tu na kukejeli..JF nimeona ndo kimbilii langu...Ahsanteni
 
wazo znuri sana, nakupongeza, kuna taratibu za kufuata kulingana na sheria za nchi, ngoja wenye ujuzi waje, ila riba yako ndogo, laki 5 kwa riba ya laki 1? au sijakuelewa vizuri, maana hapa nilipo mimi ukikopa laki 1 unalipa riba ya elfu 50. ila muhimu mimi nahitaji huo mkopo nifanyeje?
 
Ni kweli kaka yangu mimi riba yangu ni kidogo sana ndo maana unaona kwa miaka miwili nimeweza kupata faida ya mil 12 tu pamoja na fine za wanaochelewesha..nilishauriwa na huyo rafiki yangu nifanye riba kidogo kwakua ndo naanza nipate wateja kwanza maana silipi kodi wala nini ...maana kama huku arusha.biashara hii inafanywa na watu.weng sana ingawaje weng ni matajiri wanaokopesha pesa nyingi kwa riba kubwa...sisi tunaoanza hatunabud kupunguza riba ili tupate wateja maana hata hivyo haichukui muda sana ikizidi ni wiki 3/5 au zaid kidogo kulingana na kiasi mtu alichochukua...
 
habari zenu wadau...pamoja na shughuli zangu ninazofanya za kibiashara vilevile nilivutiwa na rafiki yangu aliekua anakopesha fedha kwa riba na kupata faida kubwa kwa haraka...yeye alianza na mil 30 na alikua maarufu sana hata wafanyabiashara wanaokwama marejesho na kodi hukimbilia kwake...basi mimi sikua na mtaji mkubwa sana nilianza na mil 10 nikawa nakopesha kuanzia laki 5 kwa riba ya laki...sasa mtaji wa kukopesha umekua mpaka mil 22 kwa miaka 2.ingawaje kuna changamoto za hapa na pale lakini navumilia tu ingawaje sijawahi kurushwa...

OMBI:
Naomba kwa yeyote mwenye uelewa na hizi microfinance institution anisaidie mfano kama finca, opportunity, brac n.k nafikiria kuanzisha Taasisi yangu pia ila sijui ni mtaji kias gani unatakiwa na vigezo gani..kwani natamani hata vijana wajiunde kwenye vikundi ili niwape hela za kuanzia polepole ila kwa hi style yangu ya kukopesha kienyeji sitaweza kwa hili.
Naomba mwenye uelewa anisaidie tafadhali..hata kuonana nae ikiwezekana..nipo arusha..wengi wenye hizo taasisi ukiomba ushauri wanadharau tu na kukejeli..JF nimeona ndo kimbilii langu...Ahsanteni

https://www.bot-tz.org/MFI/Default.asp?Menu=POLICIES
 
Biashara nzuri sana.

Je umeshanunua mashine (EFD) za risiti za TRA?
 
binafsi sijui kwa individual, ila naelewa kidogo kwa group. mfano SACCOS HIYO NINGEWEZA KU COMMENT.. ngoja nione wataalamu watasemaje kwani hata mimi nitajifunza kitu hapo

pia naomba kujua namna ya kupata finance consultants. hasa kwa SMES
 
Kwa uelewa wangu katka sekta hiyo ni kwamba, kwa mtaji ulionao uko kwenye kundi la informal microfinance sio formal microfinance, kwa mfano finca, nmb, pride, paypot hawa ni formal microfinance wanakaguliwa na kulipa kodi benki kuu, lakini pia mtaji sharti uanzie bilion 16. Kwa wewe ni informal kwa sababu mtaji wako ni mdogo, lakn pia imekaa kama membership based microfinance mfano vikoba microfince ambayo hailipi kodi wala haikaguliwi na benki kuu. Ni pm nikupe mawasiliano ya mtaalam katka hilo atakusaidia zaidi.
 
asante sana ndugu yang kwa ushauri mzuri kweli bilion ni hela nyingi hata nikikopa bank kwa level yangu siwez kupata zaid ya mil 20 so huko bas kutakua mbali sana..duu mayumaini yangu yanaanza kuyeyuka...nitakupm mpendwa...
 
Mkuu huwa wateja wako wanaweka dhamana au?
 
Unazungumzia mtaji wa kuanzisha benki ama,..?....sizani kama microfinance zenye mtaji huo hapa tanzania zaidi ya nmb,...anyway sina uhakika na pride.
 
asante sana ndugu yang kwa ushauri mzuri kweli bilion ni hela nyingi hata nikikopa bank kwa level yangu siwez kupata zaid ya mil 20 so huko bas kutakua mbali sana..duu mayumaini yangu yanaanza kuyeyuka...nitakupm mpendwa...

asante sana ndugu yang kwa ushauri mzuri kweli bilion ni hela nyingi hata nikikopa bank kwa level yangu siwez kupata zaid ya mil 20 so huko bas kutakua mbali sana..duu mayumaini yangu yanaanza kuyeyuka...nitakupm mpendwa...

mtaji wa microfinance sio bil 16 kama huyo Mashy anavyopotosha, ni inatakiwa uwe tsh mil 500 tu au zaid.

Lakini wengi wanaoperate rasmi na hawana hizo mil500, wana mtaji wa kawaida tu kama wa kwako au zadi ya hapo kwako lakini hazifiki mil500.

inabidi uwaone watu haswaa wanaofanya hizo microfinance wakuambie njia za kupita na kufanya manuva (itabidi udanganye useme una huo mtaji wa mil500) wakuambie jinsi ya kupata vibali na wao walifanyaje, si unajua hii ni tz bhana kuna vitu vingine bila ujanja ujanja (ambao sio wa kutapeli) mambo hayaendi.

uzuri wa ku-operate rasmi unapata uwezo wa kisheria mtu akisumbua kulipa au akileta shida unakuwa na power yote ya kuchukua mali zake au kuuza kama ni kiwanja chake na yeye kutokuweza kukugeuka. Nakutakia mafanikio mema!
 
Last edited by a moderator:

Jamani nashukuru sana..wazo zuri sana ntalifanyia kazi..asante sana
 
Last edited by a moderator:
Mathematics, si nia yangu kupotosha, ndo maana nikaanza kwa kusema kwa uelewa wangu, lakini kama katka maelezo yangu si sahihi unapaswa kuyaweka mambo sawa wala c kunishutumu, maana kila siku najifunza, na mwisho wa pachiko lakn niliahidi kumuunganisha na mtaalam wa microfinance hapa Tanzania, ambaye kasaidia microfinance kuanzishwa. Tafadhali usinielewe niko hapa kupotosha mtu awaye yoyote, nilipokosea weka mambo sawa nami nitajifunza.
 
Habari yako mkuu...nimefanya micro finance for three years.naweza kutoa advise technically kwenye kudesign product na guidelines.kwenye usajili unarejista kama kampuni Brela.Kwa stage ya BOT waliorejista ni EFC tu.kwa maswali etc ni PM.
 
asane sana ndugu.ushaur wako ni muhim kwangu nitakupm
 
Riba ni haramu na ni dhambi kubwa sana ... Naomba ufikirie biashara nyingine .... Pesa za riba zitakufikisha pabaya !!!!
 
Riba haifai, lakin ngoja uone mipovu kwa wagala wao wanakula tu riba hawajui kama riba ni haramu
 
Back
Top Bottom