Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

If you are in the business of selling laptops please inbox me. There is a need for 15 laptops. Specs: Core i3, HDD from 500Gb, RAM 4Gb preferebly Dell and HP. If you have them PM me your prices...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Transcend/Western digital, 1tb with 200 Latest Movies and about 30 TV-Series for Sale. Brand new. Price: 195,000/- Kama Uko Mkoani utaongeza 5,000/- nikutumie kwa njia ya Basi.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
IPO changanyikeni. Kodi ni laki tano. 0718800909 for more
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Office machines technicians dealers with maintenance, repair and installation PHOTOCOPY MACHINE PRINTER COMPUTER LAMINATION SCANNER CONTACT; +255 712376969 +255 656704848 +255 652387647
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shamba linauzwa lipo chanika mwanzomgumu DSM ekari nne kila ekari ni tsh 1,500,000 gari inafika mpaka shambani kwa mwasiliano 0714621548
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu? Kama unamfahamu mwanamuziki yeyote anayepatikana Dar mjulishe kuna offer ya kushoot music video bure kwenye studio yetu mpya iliyofunguliwa hapa jijini, au kama ni ww mwenyewe basi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kipo mtaa wa kulangwa barabara ya kwenda madare kwa kawawa, ukubwa 20 kwa 15 bei kama bure, 6.7m, kipo jirani na barabara, umeme na ni sehemu iliyotulia siyo uswahilini. No Dalali.
0 Reactions
0 Replies
837 Views
ipo dar es salaam ipo katika hali nzuri sana imekuwa imported toka uingereza imetumika hapa tanzania kwa miezi 5 tu, sababu ya kuuza ni kutokana na ukosefu wa usimamizi mzuri wa gari. Foden...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jipatie Meza nzuri ya kioo
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wana JF nahitaji kujua hvi ni kampuni gani Tz inatoa huduma nzuri ya insurance? Vilevile kama gari yangu ina thamani ya 10M. (Private saloon car) Je, compressive insurance ni sh ngapi...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya shekilango, makumbusho, moroco na kinondoni. Vyumba viwili vya kulala kimoja kiwe master, jiko, sitting room na choo cha public. Nina laki mbili na nusu kwa mwezi.
0 Reactions
1 Replies
810 Views
Nauza Samsung note 3 almost new price laki 6. Kama upo serious nichek 0716385824
0 Reactions
0 Replies
710 Views
Poleni na pilika wadau! Nina Nyumba yangu jirani na Neruka, nataka kuiweka Sokoni,tatizo ni kuitathmini kujua market value, ni two bedroomed hse ilijengwa toka 1998 ukubwa wa eneo ni miguu 15/17...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Kipo Ilala Buyuni. Kina hatimiliki, bei 12.5milioni, ukubwa 400sqm 20x20. Kipo eneo la biashara ni miongongi mwa vile viwanja vya mradi wa viwanja elfu 20 vya mwaka 2000. Mtaa wanaishi VIP tupu...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
wanajamvi naomba kusaidiwa kama kuna anaefaham biashara ya mashudu bei na soko lake tagadhari
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau kama kuna mtu anafahamiana na mtu wa mambo ya uchoraji na designing ya ramani za mijengo ya kisasa ani PM or ani call kwenye no. 0683 587 504
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Apartment ya vyumba vitatu vya kulala, sebure, jiko pamoja na samani za ndani inauzwa tshs 340,000,000. Matharani umeinunua unataka kuipangisha waweza kupata kodi hadi tshs 3,000,000 kwa mwezi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, Kiwanja kinauzwa kipo Mbezi Beach ukubwa feet 150/100 kina Nyumba mbili ndani yake, bei yake ni 1B tshs. Tuwasiliane # 0787198379
0 Reactions
1 Replies
917 Views
Lenovo viber X inauzwa 400,000 ni mpya kabisa! Ililetwa dar kwa ajili ya zawadi ila mlengwa yuko kijijin haiwez mfikia Tafuta taarifa za ziada za hiyo sim ukiipenda niPM
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom