DSTV PVR 2 Decoder for Sale

DSTV PVR 2 Decoder for Sale

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,473
Reaction score
757
It's a DSTV PVR (2 Tuner) that I am selling after an upgrade to DSTV Explora Decoder.

Serious buyer please check me on PM.
 
Attachments

  • IMG_20150412_103229.JPG
    IMG_20150412_103229.JPG
    97.9 KB · Views: 302
  • IMG_20150412_103148.JPG
    IMG_20150412_103148.JPG
    115.6 KB · Views: 276
  • IMG_20150412_103108.JPG
    IMG_20150412_103108.JPG
    66.8 KB · Views: 273
Mkuu huwa kinatofauti gani na cha DSTV HD ambacho nimenunua kwa elf 99!!
Kuna vitu gani nina vikosa?
DSTV HD elfu 99?aisee hamna kitu kama hicho....una decoder ya kawaida tu ambayo ni SD.
 
It's a DSTV PVR (2 Tuner) that I am selling after an upgrade to DSTV Explora Decoder.

Serious buyer please check me on PM.

mkuu mm mshamba naomba unipe somo hicho faida yake kuu ni ipi mana zijaelewa kabisa nina kichwa cha panzi kigumu kuelewa
 
DSTV HD elfu 99?aisee hamna kitu kama hicho....una decoder ya kawaida tu ambayo ni SD.

Sijui hata kama unafuatilia haya mambo!
Mwezi February multichoice Tanzania walikuwa na promotion ambapo mteja mwenye kinga'amuzi cha SD aliweza kubadilisha decoder yake na kupata HD kwa elf 32 lkn kwa mteja mpya ni elf 99! Na mm nilinunua changu!
Hata leo nenda duka lolote then tuletee mrejesho!
Laki 250 hutauza hapa nakuhakikishia!
Na kama kuna anae hitaji king'amuzi hicho cha HD kwa elf 99 aseme nimletee!
 
nina dekoda mbili za dstv nimezitupia store nataka ninunue na ya huyu jamaa nikaiweke kwenye banda la kuku
 
Sijui hata kama unafuatilia haya mambo!
Mwezi February multichoice Tanzania walikuwa na promotion ambapo mteja mwenye kinga'amuzi cha SD aliweza kubadilisha decoder yake na kupata HD kwa elf 32 lkn kwa mteja mpya ni elf 99! Na mm nilinunua changu!
Hata leo nenda duka lolote then tuletee mrejesho!
Laki 250 hutauza hapa nakuhakikishia!
Na kama kuna anae hitaji king'amuzi hicho cha HD kwa elf 99 aseme nimletee!

nakubaliana na wewe mkuu hata mm nimeziona
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom