Kwa vijana waliomaliza masomo yao ya kidato cha NNE: 2010,12,13&14 na kupata ufaulu wa Credit angalau 3 ktk mkao mmoja au miwili, Mnakaribishwa kujiunga na masomo ya A level; kidato cha 5&6...
MAMBO VIPO WADAU,
Kama umenielewa, niuzie Lumia 535, 830, 930 hama tubadilishane simu yako na Solar 5 ya startimes amabayo inasifa ifwatayo, camera mbili back pix 13, mbele pix 5, cpu 1.3, ram...
Kipo Lukobe Block 10, kimepimwa na kina ofa.
Kimejengwa chumba kimoja cha self ambacho hakijamaliziwa ila tayari kimeezekwa.
Area 800m (20.51/39.02) bei Tsh. 12m. Kinaangalia barabara ya...
Ninazo DVD za microsoft windows server 2008 utazipata kwangu, pia DVD za microsoft windows zipo, drivers na microsoft office ninazo pia, bei yake ni Tsh, elfu kumi tu.
Karibuni sana
Maftah Graphix is company that deal with graphcs design,photographics,video editing and proma
We are located Mbezi Beach Dar es Salaam
For more infomation visit Maftah Graphix
If you are in the business of selling laptops please inbox me.
There is a need for 15 laptops.
Specs: Core i3, HDD from 500Gb, RAM 4Gb preferebly Dell and HP.
If you have them PM me your prices...
Transcend/Western digital, 1tb with 200 Latest Movies and about 30 TV-Series for Sale.
Brand new.
Price: 195,000/- Kama Uko Mkoani utaongeza 5,000/- nikutumie kwa njia ya Basi.
Habari zenu?
Kama unamfahamu mwanamuziki yeyote anayepatikana Dar mjulishe kuna offer ya kushoot music video bure kwenye studio yetu mpya iliyofunguliwa hapa jijini, au kama ni ww mwenyewe basi...
Kipo mtaa wa kulangwa barabara ya kwenda madare kwa kawawa, ukubwa 20 kwa 15 bei kama bure, 6.7m, kipo jirani na barabara, umeme na ni sehemu iliyotulia siyo uswahilini.
No Dalali.
ipo dar es salaam ipo katika hali nzuri sana imekuwa imported toka uingereza imetumika hapa tanzania kwa miezi 5 tu, sababu ya kuuza ni kutokana na ukosefu wa usimamizi mzuri wa gari.
Foden...
Wana JF nahitaji kujua hvi ni kampuni gani Tz inatoa huduma nzuri ya insurance? Vilevile kama gari yangu ina thamani ya 10M. (Private saloon car)
Je, compressive insurance ni sh ngapi...
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya shekilango, makumbusho, moroco na kinondoni. Vyumba viwili vya kulala kimoja kiwe master, jiko, sitting room na choo cha public. Nina laki mbili na nusu kwa mwezi.
Poleni na pilika wadau! Nina Nyumba yangu jirani na Neruka, nataka kuiweka Sokoni,tatizo ni kuitathmini kujua market value, ni two bedroomed hse ilijengwa toka 1998 ukubwa wa eneo ni miguu 15/17...