mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Sim inaenda kwa 1.6M unachukua sim mpya boxed
peleka jukwaa la matangazo
Poa mkuu lakini nimeona nianze na jamvi hili kwanza kuna watu kama kina Snipa wanazururaga humu sana
Kuna jukwaa la matangazo mkuu...kule ndo mahala pake.Sim inaenda kwa 1.6M unachukua sim mpya boxed
M1.4 unalipa mahari,sherehe,na chenji inabaki
Wa bei rahisi tuko wengi, wenzio 1.4 anaichakaza na hata hakumbuki alinunua nini, ni petty cash kama unavyonunua karanga na pipi.
Tibaijuka team
Weka namba mkuu