Ok. Asante kwa taarifaMimi juzi nmelipua insuarance third part ya gari ambalo ni cc 1400 nmelipia karibia 100, 000 ila kwa agent
Ok.nu kweli ngoja tuwasubiri wadau hapanami nasubiria majibu hapa
Asante kwa taarifaJubilee wapo poa sana, na compressive kwa gar ya 10ml ni 365000..
Pia unaweza kwenda pale Zanzibar Insurance Lumumba Road Mkabala na Morogoro Road nao wapo vizur kwenye Bima zao.
Asanteni kwa taarifa maana haya makapuni ya bima ni noma yakiwa yanatafuta wateja wanakuja kiungwana kweli kwenye malipo sasa na bado Vehicle inspector hajazingua hapo unaweza ukachanganyikiwa.Mama wee! Usinitoneshe kidonda, Zanzibar insurance ni wagumu kulipa sijapata ona..
Siwez kumshaur mtu akakate Zanzibar Insurance..lol
Asanteni kwa taarifa maana haya makapuni ya bima ni noma yakiwa yanatafuta wateja wanakuja kiungwana kweli kwenye malipo sasa na bado Vehicle inspector hajazingua hapo unaweza ukachanganyikiwa
asante kwa ushauri.Tatizo jingine la Watu wengi hawasomi 'terms' zilizoko kwenye mikataba yao ya bima (policy). Lakini ni vyema mtu kupitia kwa Broker anayeheshimika, wao ni rahisi sana kufuatilia madai yako.
Jubilee wapo poa sana, na compressive kwa gar ya 10ml ni 365000..