Tangazo la kusoma A level Itende high school

Tangazo la kusoma A level Itende high school

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
802
Kwa vijana waliomaliza masomo yao ya kidato cha NNE: 2010,12,13&14 na kupata ufaulu wa Credit angalau 3 ktk mkao mmoja au miwili, Mnakaribishwa kujiunga na masomo ya A level; kidato cha 5&6 shuleni Itende high school.
Shule IPO; Mbeya mjini
Michepuo; HGK,HKL,HGL, HGE & EGM
Shule ni Kutwa na Bweni
Shule ni mchanganyiko: wav&was
Ada kutwa : 500,000 kwa mwaka
Ada bweni; 1,100,000 kwa mwaka
Mhula kidato cha 5 unaanza rasmi tareh 8/6/2015

Karibuni. Jiandikishe Leo kwa kupiga no 0754734009
 
IPILIMO,

Hebu tupe historia ya matokeo yake kwa angalau miaka mitatu mfululizo ukianzia na mwaka jana kurudi nyuma
 
Last edited by a moderator:
Hakuna div 4 wala 0 kwa miaka mitatu mfululizo
 
Back
Top Bottom