Nataka kuuza Nyumba, Mtoni Kijichi

Nataka kuuza Nyumba, Mtoni Kijichi

mt halisi

Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
49
Reaction score
8
Poleni na pilika wadau! Nina Nyumba yangu jirani na Neruka, nataka kuiweka Sokoni,tatizo ni kuitathmini kujua market value, ni two bedroomed hse ilijengwa toka 1998 ukubwa wa eneo ni miguu 15/17 approx, eneo halijapimwa. Naomba mwanajamii mwenye kujua please, nijurishe nifanyeje ili nifanikishe zoezi hili. Asante. Contact. 0712 477976.
 
Wewe hujui value yake Mpaka aje mtu wa nje ndio akuambie?
Au sio yako?
Au ni yako lakini hukujenga wewe, umefanya kupewa tu?
Wewe taja tu bei unayoona itakufaa au kukulipa?

Mambo ya valuations hua yanakuja kama unataka kuiombea Mkopo tuseme, au issues zingine zinazohusiana na hizo.
 
Nyumba yako kweli? hebu sema tu thamani yake kwa mahesabu ya fasta fasta
 
we utakuwa dalali na bado hujakabidhiziwa kazi rasmi
Hahahah,aiseeee mbavu sinaaaaaaaa.
Yaaani Dalali bado hajaaapishwa.

Mie nilifikiria kajenga miaka ya 60 kumbe nineties,juzi tu anashindwa kujua thamani ya bei ya nyumba yake.
Wasiwasi wangu kama ni nyumba yake basi akiuza tu ndani ya mwaka anakufa,maana inanekana hata kwenye matumzi ya mpango pesa hayupo vizuri.
 
mkuu kama nyumba ni yako ungetuambia wewe myewenye bei ila nina mashaka yanaonekana wewe ni dalali usiyejua hiyo nyumba inagharamuje halafu nina mashaka pia hiyo nyumba itakuwa ina ulakini ayani itakuwa ina utata wa ukoo isijeuziwa mbuzi kwenye kiroba cha mkeka ahalafu baada ya muda unakuwa umekaangwa kwenye flypan hapo sasa utaomba ardhi ididimie chini ili uende huko maana utakuwa ushatapeliwa kidizaini
 
Ladyfurahia mpenzi wangu nakupenda sana swahiba.
Ila leo umetuonyesha kwamba umenunua Smart phone mpya tena ya kisasa na ipo kwenye majaribio.
Maana hakuna hata kituo (Punctuation)kimoja kwenye post yako.
 
Aisee JF Noma,mnamfanya muuzaji awe mpole ghalfa,maana yeye Alikuwa London,sasa bei zinampa tabu kiasi.
 
hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa bestito jamani
si unajua tena kipya kinaleta shida mpaka ujifunze ndo uweze kutumia vizuri
Ladyfurahia mpenzi wangu nakupenda sana swahiba.
Ila leo umetuonyesha kwamba umenunua Smart phone mpya tena ya kisasa na ipo kwenye majaribio.
Maana hakuna hata kituo (Punctuation)kimoja kwenye post yako.
 
Poleni na pilika wadau! Nina Nyumba yangu jirani na Neruka, nataka kuiweka Sokoni,tatizo ni kuitathmini kujua market value, ni two bedroomed hse ilijengwa toka 1998 ukubwa wa eneo ni miguu 15/17 approx, eneo halijapimwa. Naomba mwanajamii mwenye kujua please, nijurishe nifanyeje ili nifanikishe zoezi hili. Asante. Contact. 0712 477976.

Price tag ni 50m but still there's a room to talk.
Karibuni.
 
Poleni na pilika wadau! Nina Nyumba yangu jirani na Neruka, nataka kuiweka Sokoni,tatizo ni kuitathmini kujua market value, ni two bedroomed hse ilijengwa toka 1998 ukubwa wa eneo ni miguu 15/17 approx, eneo halijapimwa. Naomba mwanajamii mwenye kujua please, nijurishe nifanyeje ili nifanikishe zoezi hili. Asante. Contact. 0712 477976.

Price tag ni 50m but there's still a room to talk.
Karibuni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom