Natafuta Nyumba ya kupanga maeneo haya

Natafuta Nyumba ya kupanga maeneo haya

lemmy15

Member
Joined
Jan 31, 2015
Posts
8
Reaction score
4
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya shekilango, makumbusho, moroco na kinondoni. Vyumba viwili vya kulala kimoja kiwe master, jiko, sitting room na choo cha public. Nina laki mbili na nusu kwa mwezi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom