Truck for sale

Truck for sale

Kingvictor87

Member
Joined
May 31, 2011
Posts
83
Reaction score
42
ipo dar es salaam ipo katika hali nzuri sana imekuwa imported toka uingereza imetumika hapa tanzania kwa miezi 5 tu, sababu ya kuuza ni kutokana na ukosefu wa usimamizi mzuri wa gari.

Foden Alpha 3000series, 2002 model
Bei 58,000,000.00 Kichwa pamoja trailer yake.
mawasiliano 0715010096
Asanteni
 

Attachments

  • IMG-20150413-WA0007.jpg
    IMG-20150413-WA0007.jpg
    128.9 KB · Views: 209
  • IMG-20150413-WA0006.jpg
    IMG-20150413-WA0006.jpg
    125.7 KB · Views: 173
  • IMG-20150413-WA0005.jpg
    IMG-20150413-WA0005.jpg
    119 KB · Views: 166
  • IMG-20150412-WA0008.jpg
    IMG-20150412-WA0008.jpg
    89 KB · Views: 159
  • IMG-20150412-WA0010.jpg
    IMG-20150412-WA0010.jpg
    156.8 KB · Views: 164
Mkuu,
Ina engine na gear box gani?

Hiyo bei ni parefu kwa foden japokuwa inaonekana bado ilo vizuri sana.

Naweza kuikodi kwa town trips hapa hapa dar short distances. Pm for more
 
Mkuu,
Ina engine na gear box gani?

Hiyo bei ni parefu kwa foden japokuwa inaonekana bado ilo vizuri sana.

Naweza kuikodi kwa town trips hapa hapa dar short distances. Pm for more

inawezekana kabisa kaka nicheck kwenye namba hiyo then tuonane uje uione gari
 
Back
Top Bottom