Kitomai
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 1,137
- 365
Apartment ya vyumba vitatu vya kulala, sebure, jiko pamoja na samani za ndani inauzwa tshs 340,000,000. Matharani umeinunua unataka kuipangisha waweza kupata kodi hadi tshs 3,000,000 kwa mwezi, kwa mwaka 36,000,000. Hii ina maana ndani ya miaka 10 utakua umerudisha pesa yako. Huu utakua ni uwekezaji wenye busara. Hata kama umekopa mkopo benk kwako itakua rahisi kurejesha mkopo kwa kutumia kodi. Kwa maelezo zaidi piga simu 0784225000 au kwa whatsapp tumia 0717114409