Kama humu ndani kuna mafundi, naombeni mje PM mnipe bei zenu za kujenga nyumba; yaani kuanzia msingi hadi renta (invitation for bid). Nataka kujenga ya vyumba 5, kubwa ya kisasa.
Karibuni sana.
Nauza gari aina ni aud ya mwaka 2003 bei ni sh 13 milion tu..
Mtandao uko chini sana nimeshindwa upload picha tuwasiliane 0654715457 nikutumie picha na nikupatie full specfcation za gari yangu.
Habari
Tafadhali yeyote anayehitaji kuuza! Na kilicho ktk hali nzuri na kinafanya kazi,pia kiwe hakija wahi kupelekwa kwa fundi!
Bei tsh 55,000/ ! Niachie kwani nami nianzie maisha...
Nyumba zinauzwa ni mpya, ndio ziko kwenye hatua ya mmwisho< ziko kunduchi skanska-salasa. bei zinatofautiana na ukubwa wa eneo, bei inaanzia 130ml to 180ml. karibuni 0782370200
Kuna vifaa vya mafriji kwa wale wanaouza vifaa vya mafriji, kama uko mkoani pia unaweza wasiliana na mimi ukaja chukua vifaa hivyo, nauza kwa jumla.
Nina vifaa kama relays za pin 2 na 3, or...
Nauza Samsung galaxy S5 na gear 2. Zote ni original , zipo kwenye hali nzuri sana. Zimetumika kwa miezi 5 tu. Starting price kwa zote ni Tsh. 900,000/=.
tunauza viwanja maeneo ya kwa morombo Arusha ukubwa wowote ila kuanzia mita 10 ×15 kwa 1.5M hakuna udalali epuka matapeli
ofis zetu ziko stand ndogo Arusha
kwa mawasiliano
+255756430325...
Tumeingiza mzigo mpya wa matrailer. Matrailer mapya kabisa aina ya Nursan na Serin.
Ubora wa matrailer haya unaweza kupakia container za futi 20 mbili kwa pamoja na futi 40 moja .
Breki zake...
Habar wanaJF,
Kwa mahitaji yako ya handbag bomba za mitumba tucall or WhatsApp namba 0659-991891na usisite kutofollow instagram, account yetu ni: "viatu_handbag_za_mitumba".
Free delivery na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.