Kama unavijihela Tegeta itoe ktk akili yako,subiri utakapopata mihelaWakuu habari tafadhari kuna vijihela nimeviotea sehem naombeni kwa yeyote anaejua kama kuna kiwanja maeneo ya tegeta anijuze tafadhali.
Kumbe ulitumia maneno ya joka lenye makengeza mabilioni kuita vijisenti na ya yule mama mil 10 kuita hela ya mboga, subiri madalali wajeMkuu ni vihela kwa mujibu wa pesa zetu za madafu lakin nadhan vinaweza kununua kiwanja maeneo hayo.
Tegeta hamna kiwanja labda umuhamishe mtu kwa kununua nyumba yake. Ukitaka viwanja ni madale au kisaukeandaa mil 150 boko.... tegeta 250 kama una 5 nenda bagamoyo
Ww unataka cha ukubwa gani? Kuna kimoja kinauzwa 20*20 kipo jirani na barabara ya kunduchi Silver sand. Mill 15. Mm nilitaka kununua iila bei imenishindaKikubwa ni kupata kiwanja naondoa fikra za tegeta maeneo yoyote dar ambayo yapo karibu na barabara pesa ipo jamani nisaidieni ntaitumia.
Ww unataka cha ukubwa gani? Kuna kimoja kinauzwa 20*20 kipo jirani na barabara ya kunduchi Silver sand. Mill 15. Mm nilitaka kununua iila bei imenishinda
Mnunuaji angalia huo moto wako na kasi hiyo usije kulizwa.
Na inaonekana ndio mara yako ya mwanzo kununua kiwanja,sasa hapo napo lazima uwe makini sana.
Wakuu habari tafadhari kuna vijihela nimeviotea sehem naombeni kwa yeyote anaejua kama kuna kiwanja maeneo ya tegeta anijuze tafadhali.