Gharama ya kujenga msingi hadi renta wa nyumba

Gharama ya kujenga msingi hadi renta wa nyumba

Nokla

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
3,190
Reaction score
1,780
Kama humu ndani kuna mafundi, naombeni mje PM mnipe bei zenu za kujenga nyumba; yaani kuanzia msingi hadi renta (invitation for bid). Nataka kujenga ya vyumba 5, kubwa ya kisasa.

Karibuni sana.
 
mkuu,
mimi kesho nd naaza kuweka lenta. leo ilikua kazi ya kusuka nondo na kupiga yale mambao. kesho ndo wanamimina zege.
we kama una m 3 hivi au nne anza ujenzi usipende sana kujua total cost..HAUTAKAA UJENGE.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom