Line ya Mpesa inauzwa

Line ya Mpesa inauzwa

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,594
Reaction score
1,863
Bado ni mpya kabisa, zote mbili zipo, bei 270000/= nipigie tuongee 0715 81 21 60 bei inazungumzika
 
Bado ni mpya kabisa, zote mbili zipo, bei 270000/= nipigie tuongee 0715 81 21 60

Hizo laini mbili unamaanisha ile laini ya kazi na second sim yake(management sim)?
Au unamaanisha jumla zipo laini nne?

Kama zipo mbili kwa maana ya laini ya kazi na second sim yake then 270,000 usitegemee kuuza hapa.
 
Duuuuuuuh,kweli watu na kazi zao umenifanya niyajue ambayo nilikuwa siyajui
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom