King'amuzi cha Startimes kinahitajika

King'amuzi cha Startimes kinahitajika

DREAMBOY

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
2,117
Reaction score
1,373
Habari
Tafadhali yeyote anayehitaji kuuza! Na kilicho ktk hali nzuri na kinafanya kazi,pia kiwe hakija wahi kupelekwa kwa fundi!
Bei tsh 55,000/ ! Niachie kwani nami nianzie maisha!
Kisichotumia dish
Nipo mwanza mjini!
N pm please
 
jamani mbona kimya au ndo siki watz hatufanyi madili tena
 
nimenunu dukami juzi 34 tuu acha hizo nenda startimes kijana
 
Back
Top Bottom